kuna wanawake wengi huwa wanashindwa kujua kama uke wao ni mpana au mdogo (mnato). sababu inayowapelekea kushindwa kuamua mazoezi ya kuufanyia uke wao. leo nitakuletea njia rahisi za kujua kama uke wako ni mpana au mnato.
UNATOPOWEZA KUINGIZA VIDOLE VYAKO VYOTE VITATU BILA SHIDA
kama unaweza kuingiza ukeni vidole vyako vyote vitatu bila tatizo basi hiyo ni dalili ya kuwa na uke mpana
KUTOKWA NA HAJA NDOGO BILA KUJITAMBUA
kutokwa na haja ndogo bila kujitambua pia ni dalili mojawapo ya uke mpana, haja ndogo hiyo hutoka kidogo bila mwanamke kutambua
MPENZI WAKO ANALALAMIKA KUHUSU UKE WAKO
kama mpenzi wako analalamika kuwa humlidhishi na kwamba uke wako ni mpana basi ujue una uke mpana
UNAFIKA KILELENI UKITUMIA VITU VYENYE MAUMBILE MAKUBWA
kama unafila kileleni pale tu unapotumia sex toy kubwa au vitu venye umbo kubwa kufanya mapenzi basi ujue una tatizo la uke mpana
Post a Comment